1Kisha Mungu akamkumbuka Noa na wale nyama wote nao nyama wa nyumbani waliokuwa naye chomboni; ndipo, Mungu alipovumisha upepo juu ya nchi; kwa hiyo maji yakaanza kupwa.Kiagio cha Mungu.
21Bwana aliposikia huo mnuko wa kumpendeza Bwana akasema moyoni mwake: Sitaiapiza nchi tena kwa ajili ya watu, kwani mawazo ya mioyo ya watu ni mabaya tangu utoto wao, wala sitawapiga tena wote walio hai, kama nilivyofanya.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.