1*Kila mwenye kuyategemea ya kwamba: Yesu ni Kristo, amezaliwa na Mungu. Naye kila mwenye kumpenda mzazi aliyemzaa humpenda hata yeye aliyezaliwa naye.Roho na maji na damu.
6Huyu Yesu Kristo ndiye aliyekuja mwenye maji na damu; hakuja na maji tu, ila alikuja mwenye maji na damu. Naye Roho ndiye anayeyashuhudia, kwani Roho ndiye kweli.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.