1Hapo, walipoukaribia Yerusalemu na kufika Beti-Fage mlimani pa michekele, ndipo, Yesu alipotuma wanafunzi wawili,
2akawaambia: Nendeni katika kijiji kinachowaelekea! Mara mtaona punda, amefungwa, hata mtoto wake yuko pamoja naye; mfungueni, mniletee!
3Kama mtu atawaambia neno, mwambieni: Bwana wetu anamtakia kazi! mara atawapani.Ubatizo wa Yohana.(23-27: Mar. 11:27-33; Luk. 20:1-8.)
23Alipokwisha ingia Patakatifu, akiwa akifundisha, wakamjia watambikaji wakuu na wazee wa huku kwao, wakamwuliza: Hayo unayafanya kwa nguvu gani?Wakulima wabaya.(33-46: Mar. 12:1-12; Luk. 20:9-19.)
33Sikilizeni mfano mwingine! Kulikuwa na mtu mwenye nyumba aliyepanda mizabibu, akaizungusha ugo, akachimbua humo kamulio la kuzikamulia zabibu, akajenga dungu, akaipangisha wakulima, kisha akaenda katika nchi nyingine.
43Kwa sababu hiyo nawaambiani: Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu
taifa jingine litakalozaa matunda yake liupate.
44Naye atakayeanguka juu ya jiwe hilo atapondeka, naye litakayemwangukia, litambana tikitiki*.
45Watambiakaji wakuu na Mafariseo walipoisikia mifano yake wakatambua, ya kuwa anawasema wao.
46Kwa hiyo wakatafuta kumkamata, lakini waliwaogopa makundi ya watu, kwani walimwona kuwa mfumbuaji.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.