1Yesu alipokwisha kuwaagiza haya wanafunzi wake kumi na wawili akaondoka, alikokuwa, akaenda kufundisha watu na kuwapigia ile mbiu katika miji yao.
Wajumbe wa Yohana.(2-19: Luk. 7:18-35.)2*Lakini Yohana alipozisikia mle kifungoni kazi zake Kristo akatuma wanafunzi wake wawili,Ufumbuaji wa Yohana.
7Wao walipokwenda zao, Yesu akaanza kusema na yale makundi ya watu mambo ya Yohana: Mlipotoka kwenda nyikani mlikwenda kutazama nini? Mlikwenda kutazama utete unaotikiswa na upepo?Kuikaripia miji.(20-24: Luk. 10:12-15.)
20Ndipo Yesu alipoanza kuikaripia miji, yalimofanyika ya nguvu yake mengi, kwa maana haikujuta.
21Akasema: Yatakupata, wewe Korasini! Yatakupata, wewe Beti-Saida! Kwani ya nguvu yaliyofanyika kwenu, kama yangalifanyika Tiro na Sidoni, wangalijuta kale na kujivika magunia na kujikalisha majivuni.Kuwaita wenye kusumbuka.(25-27: Luk. 10:21-22)
25*Siku zile Yesu akasema kwamba: Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwani hayo umewaficha werevu na watambuzi, ukawafunulia wachanga.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.