1 Wakorinto 6 - Swahili Roehl Bible 1937

Kutafuta maamuzi kwao wapotovu.

1Inakuwaje, mtu wa kwenu aliye na jambo na mwenziwe akijipa moyo wa kuja kushtaki mbele yao walio wapotovu, asije mbele yao walio watakatifu?

2Au hamjui, ya kuwa watakatifu watauhukumu ulimwengu? Ikiwa ulimwengu utahukumiwa nanyi, isiwapase kuamulia mambo yaliyo madogo?Miili ya Wakristo ni viungo vya Kristo.

12Kwangu mimi hakuna cho chote chenye mwiko, lakini sivyo vyote vifaavyo: kwangu mimi hakuna cho chote chenye mwiko, lakini kitakachonishinda sikitaki kamwe.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help