1Mimi Paulo niliye mtume wa Kristo Yesu kwa hayo, Mungu ayatakayo, na ndugu Timoteo tunawaandikia ninyi wateule wa Mungu mlioko Korinto nanyi watakatifu nyote mlioko katika nchi yote ya Akea.Upozi wa mioyo.
3Atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo! Ndiye Baba anayewaonea wote uchungu na Mungu anayeipoza mioyo yao wote.Paulo hayageuzi bure, ayatakayo.
15Kwa kushikizwa hivyo moyoni, nalitaka kufika kwenu hapo kwanza, ninyi mpate kuamkiwa mara mbili:
16hapo, nikipita kwenu kwenda Makedonia, tena nikitoka Makedonia kuja kwenu ninyi, nipate kusindikizwa nanyi, kwenda Yudea.
23Mimi namtaja Mungu, aushuhudie moyo wangu ya kuwa: Sujaja tena Korinto, nipate kuwajia mwenye upole.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.