Waebureo 4 - Swahili Roehl Bible 1937

Kiko kituo cha watu wa Mungu.

1Kwa kuwa kile kiagio cha kuingia kwenye kituo chake kiko bado, na tuogope, pasionekane hata mmoja wenu ajiwaziaye kwamba: Nimekikosa!

2Kwani nasi tumepigiwa hiyo mbiu njema kama wale. Lakini wale lile neno, waliloambiwa, halikuwafalia, kwani hawakulitegemea, wajiunge nao walisikiao.

3Maana sisi tumtegemeao Mungu twaingia kwenye kituo kile, kama alivyosema:

Kwa hiyo nilijiapia kwa makali yangu kwamba:

Hawataingia kamwe kwenye kituo changu!

Nazo kazi zake zilikuwa zimekwisha kufanyika hapo, alipokwisha kuumba ulimwengu,

9*Kwa hiyo twasema: Liko pumziko, watu wa Mungu walilowekewa bado.

10Kwani aliyeingia kwenye kituo chake, huyo kuzipumzikia kazi zake yeye, kama Mungu alivyozipumzikia kazi zake mwenyewe.Nguvu na makali ya Neno la Mungu.

11Sasa tujihimize kuingia kwenye kituo kile, pasipatikane mtu atakayeangushwa akiyafuata mafunzo yao walewale waliokataa kutii!

15*Kwani hatuna mtambikaji mkuu asiyeteseka pamoja na sisi kwa ajili ya manyonge yetu. Maana naye alijaribiwa katika mambo yote kama sisi, lakini hakukosa.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help