1Akaanza kusema nao kwa mifano. Mtu alipanda mizabibu, akaizungusha ugo, akachimbua kamulio la kuzikamulia zabibu, ajenga dungu, akaipangisha wakulima, kisha akaenda katika nchi nyingine.Kufufuka.(18-27: Mat. 22:23-33; Luk. 20:27-38.)
18Masadukeo wanaosema: Hakuna ufufuko walipokuja kwake wakamwuliza wakisema:
19Mfunzi, Mose alituandikia kama hivi: Mtu akifiwa na mkubwa wake aliyeacha mkewe, lakini hakuacha mwana, nduguye amchukue huyo mke, amzalie mkubwa wake mwana.Mwana wa Dawidi.(35-37: Mat. 22:41-46; Luk. 20:41-44.)
35Yesu alipofundisha hapo Patakatifu akawauliza akisema: Waandishi husemaje, ya kuwa Kristo ni mwana wa Dawidi?
36Dawidi mwenyewe alisema kwa nguvu ya Roho Mtakatifu:
Bwana alimwambia Bwana wangu: Keti kuumeni kwangu,
mpaka niwaweke adui zako chini miguuni pako!
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.