1 Mose 17 - Swahili Roehl Bible 1937

Aburamu anaitwa Aburahamu.

1Aburamu alipokuwa mwenye miaka 99, Bwana akamtokea Aburamu, akamwambia: Mimi ni Mungu Mwenyezi, uendelee machoni pangu na kunicha!Agano la kutahiri.

9Kisha Mungu akamwambia Aburahamu: Liangalieni Agano langu, wewe nao wa uzao wako wajao nyuma yako, vizazi kwa vizazi!

10Nalo hili ndilo Agano langu la kuliangalia, tunaloliagana mimi na wewe nao wa uzao wako wajao nyuma yako: Kwenu sharti atahiriwe kila aliye wa kiume.Aburahamu anajitahiri pamoja nao wote, alio nao.

23Kisha Aburahamu akamchukua mwanawe Isimaeli nao wazaliwa wote wa nyumbani mwake nao wote, aliowanunua kwa fedha zake, watu waume wote pia waliokuwamo nyumbani mwake Aburahamu, akawakata nyama za magovi yao siku iyo hiyo, kama Mungu alivyomwambia.

24Aburahamu alikuwa mwenye miaka 99 alipokatwa nyama ya govi lake.

25Naye mwanawe Isimaeli alikuwa mwenye miaka 13 alipokatwa nyama ya govi lake.

26Siku iyo hiyo moja Aburahamu na mwanawe isimaeli walitahiriwa.

27Nao waume wote wa nyumbani mwake, wazalia wa nyumbani nao, aliowanunua kwa fedha kwa watu wasio wa kabila lake, wote walitahiriwa pamoja naye.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help