Iyobu 16 - Swahili Roehl Bible 1937

1Maneno kama haya nimeyasikia mara nyingi,

2ninyi nyote mwatuliza moyo na kuusumbua!

3Maneno yaliyo kama upepo yamekwisha? Au kuna nini kinachokuchochea, ukinijibu hivyo?

4Mimi nami ningeweza kusema kama ninyi; kama roho zenu zingekuwa mahali pake roho yangu, nami ningeweza kukusanya maneno mazuri ya kuwaambia pamoja na kuwatingishia kichwa changu.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help