Mashangilio 95 - Swahili Roehl Bible 1937
Kumshukuru Mungu mchungaji wetu.
1Njoni, tumpigie vigelegele yeye Bwana! Aliye mwamba wa wokovu wetu na tumshangilie!
8Leo mtakapoisikia sauti yake, msiishupaze mioyo yenu, kama vilivyokuwa kule Meriba au Masa, mlipokuwa kule nyikani.