1*Ninyi watoto, watiini wazazi wenu, kwa kuwa mnaye Bwana! Kwani hivi huongoka:
2Mheshimu baba yako na mama yako!
Nalo ni agizo la kwanza lenye kiagio cha kwamba:
3Upate kukaa vema,
nazo siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi!Watumwa wawaheshimu mabwana zao! Hao wasiwachokoze!
5Ninyi watumwa, kama mnavyomtii Kristo, watiini nao mabwana zenu wa nchini kwa kuwaogopa na kutetemeka, mkilishika mioyoni mwenu lile Neno moja tu!Mata ya Wakristo.
10*Mwisho, ndugu zangu, kwa sababu m wake Kristo, mwe wenye kushupaa kwa nguvu ya uwezo wake!Kuaga.
21Lakini kusudi mpate kujua nanyi, mambo yangu yalivyo, nami mwenyewe nilivyo, yote atawasimulia Tikiko aliye ndugu yetu mpendwa na mtumishi mwelekevu wa Bwana.Tume. 20:4; 2 Tim. 4:12.
22Huyu nimemtuma, aje kwenu kwa ajili hiihii, myatambue, mambo yetu yalivyo, naye aitulize mioyo yenu.Kol. 4:7-8.
23Ndugu, mtengemane na kupendana, mpate hata nguvu ya kumtegemea Mungu itokayo kwa Mungu Baba na kwa Bwana Yesu Kristo!
24Upole uwakalie wote wampendao Bwana wetu Yesu Kristo pasipo kulegea! Amin.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.