1Festo alipokwisha kuupata utawala nchi, siku zilipopita tatu, akaondoka Kesaria, akapanda kwenda Yerusalemu.
2Ndipo, watambikaji wakuu na Wayuda wenye cheo walipomtokea kumsuta Paulo, wakambembeleza
23Basi, kesho yake wakaja Agripa na Berenike, walikuwa wamejipamba kifalme vizuri, wakaingia penye hukumu pamoja na mabwana wakubwa na watu wenye cheo wa mjini. Festo alipoagiza, Paulo akaletwa.
24Ndipo, Festo aliposema: Mfalme Agripa, nanyi waume nyote mliopo hapa pamoja nasi, mtazameni mtu huyu! Kwa ajili yake yeye kundi lote zima la Wayuda limenitokea huko Yerusalemu na hapa vilevile; wakanipigia makelele ya kwamba: Haifai kabisa, huyu akiwapo vivyo hivyo!Tume. 22:22; 25:2,7.
25Lakini mimi nikaona, ya kuwa hakufanya neno lo lote linalopasa, auawe, naye mwenyewe akasema waziwazi: Nataka, nihukumiwe na mfalme aliye mkuu peke yake; kwa hiyo nikataka kumtuma huko.
26Lakini sinalo neno la kweli la kumwandikia bwana wangu la kwamba: Amekosa hivi na hivi. Kwa hiyo nimemleta mbele yenu, kwanza mbele yako wewe, mfalme Agripa, nipate la kuandika, mkiisha kuulizana naye.
27Kwani naona, ni upambavu kutuma mfungwa, pasipo kuyaeleza makosa yake.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.