1*Mwenye shangwe ni mtu asiyefuata shauri lao wasiomcha Mungu, asiyesimama njiani kwao wakosaji, asiyekaa penye kao la wafyozaji.
4Lakini wasiomcha Mungu sivyo walivyo, wao hufanana na makapi, upepo uyapeperushayo.Sh. 35:5; Iy. 21:18; Hos. 13:3.
5Kwa hiyo wasiomcha Mungu hawataopolewa kwenye mapatilizo, wala wakosaji kwenye mkutano wao waongofu.
6Kwani Bwana huijua njia yao walio waongofu, lakini njia yao wasiomcha Mungu itapotea.*
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.