1Nami ndugu, sikuweza kusema nanyi, kama m wenye Roho, m wenye miili tu, m vitoto vichanga katika mambo ya Kristo; kwa hivyo nimesema nanyi kitoto.Kupanda na kunywesha.
5Apolo ni nani? Paulo ni nani? Tu watumishi waliowafundisha kumtegemea Bwana, kila mmoja wetu, kama Bwana alivyompa:Msingi wa Mungu.
10Kwa werevu wa kweli, niliogawiwa na Mungu, mimi niliweka msingi kama fundi aliye mwenye ubingwa wa jengo; lakini mwingine anajenga juu yake. Lakini kila aangalie, jinsi anavyojenga juu yake!
11*Kwani hakuna anayeweza kuweka msingi mwingine pasipo ule uliokwisha kuwekwa, ulio Yesu Kristo.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.