2 Petero 3 - Swahili Roehl Bible 1937

Kristo atarudi.

1Wapendwa, barua hii ni ya pili, ninayowaandikia ninyi. Nami katika zote mbili nayakeshesha mawazo yenu yaliyo ya kweli kwa kuwakumbusha:Siku moja kama miaka elfu.

8Lakini wapendwa, neno hili moja msilisahau:

Kwa Bwana siku moja ni kama miaka elfu,

nayo miaka elfu ni kama siku moja!Mwisho wa ulimwengu huu.

10Lakini siku ya Bwana itakuja kama mwizi; ndipo, mbingu zitakapotoweka kwa shindo kuu, nayo yaliyoko tangu mwanzo yatayeyuka kwa kuchomwa na moto, hata nchi za kazi zilizomo zitateketezwa.Uvumilivu wa Bwana ni wokovu wetu.

14Kwa hiyo, wapendwa, mkiyatazamia hayo jikazeni, mpate kuonekana kuwa wenye utengemano pasipo kilema wala pasipo doadoa!*1 Kor. 1:7-8.

15Tena uvumilivu wa Bwana wetu mwuwazie kuwa wokovu, kama naye ndugu yetu mpendwa Paulo alivyowaandikia ninyi kwa ujuzi wake, aliopewa.2 Petr. 3:9; Rom. 2:4; 2 Tes. 2:2.

16Ndivyo, anavyoandika katika barua zote akiyasema mambo hayo; lakini mle baruani mwake yamo maneno mengine yaliyo magumu ya kuyajua maana. Nao wasiofundishwa vema nao wasiomtegemea Mungu vema huyapindua, kama wanavyoyapindua hata Maandiko mengine; ndivyo, wanavyojiangamiza wenyewe.

17Basi, ninyi wapendwa mlioanza kuyatambua hayo, jiangalieni, nanyi msipotezwe na upotevu wao wasioonyeka, mkaanguka na kuiacha ngome yenu wenyewe!Mar. 13:5,9,33.

18Ila endeleeni kukuwa mkigawiwa mema, tena mkimtambua Bwana na mwokozi wetu Yesu Kristo! Yeye atukuzwe sasa mpaka siku isiyo na mwisho! Amin.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help