1Katika mwaka wa 7 wa Yehu Yoasi akawa mfalme, akaushika ufalme mle Yerusalemu miaka 40, nalo jina la mama yake ni Sibia wa Beri-Seba.
2Yoasi akayafanya yanyokayo machoni pake Bwana siku zake zote, mtambikaji Yoyada alizomfundisha.
3Matambiko ya vilimani tu hayakukoma, maana watu wakaendelea bado kutoa ng'ombe za tambiko na kuvukiza vilimani pa kutambikia.Kuuawa kwake Yoasi.
19Mambo mengine ya Yoasi, nayo yote aliyoyafanya, hayakuandikwa katika kitabu cha mambo ya siku za wafalme wa Wayuda?
20Watumishi wake wakamwinukia na kumlia njama, kisha wakamwua Yoasi katika boma la Milo panapotelemkia silo.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.