Mashangilio 2 - Swahili Roehl Bible 1937
Machafuko ya watu yatavunjwa na Masiya.
4Lakini akaaye mbinguni anawacheka, yeye Bwana anawafyoza.
10Sasa nyie wafalme, pambanukeni! Nanyi waamuzi wa nchi, onyekani!
11Mtumikieni Bwana kwa kumwogopa! Mshangilieni kwa kutetemeka!