1Ndivyo, asemavyo Bwana: Siku zile wataifukua makaburini mwao mifupa ya wafalme wa Yuda na mifupa ya wakuu wao na mifupa ya watambikaji na mifupa ya wafumbuaji na mifupa yao waliokaa Yerusalemu.
2Kisha wataitandaza penye jua na penye mwezi napo penye kikosi chote cha mbinguni, maana wamepapenda, wakapatunukia, wakapafuata, wakapatafuta, wakapaangukia; haitaokotwa, wala haitazikwa tena, itakuwa mbolea tu juu ya nchi.Masikitiko yake Yeremia.
18Napata wapi utulivu wa roho katika masikitiko? Moyo wangu umeugua humu ndani.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.