1Maneno mengi kama hayo yasijibiwe?
2Au mtu ajuaye kusema hivyo atakuwa mwongofu?
3Watu wengine wayanyamazie tu mapuzi yako, asioneke mtu atakayekutweza, wewe ukimfyoza?
4Wewe tu useme: Maelezo yangu ni ya kweli, nami nimetakata machoni pako?Jibu la tatu la Iyobu: Anawaonya rafiki zake na kuwaonyesha nguvu kubwa za Mungu.
Iyobu akajibu akisema:
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.