Waroma 4 - Swahili Roehl Bible 1937

Wongofu wa Aburahamu na wa Dawidi.

1Basi, tusemeje? Aburahamu, baba yetu wa kale, kimtu ameonaje?

2Kwani Aburuhamu, kama alipata wongufu kwa ajili ya matendo yake, kweli analo la kujivunia, lakini mbele ya Mungu haliko.

3Kwani Maandiko yanasemaje?

Aburahamu alimtegemea Mungu,

kwa hiyo aliwaziwa kuwa mwenye wongofu.

23Lakini hilo halikuandikwa kwa ajili yake tu, ya kuwa ndivyo, alivyowaziwa,

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help