Iyobu 19 - Swahili Roehl Bible 1937

1Roho yangu mtaisikitisha mpaka lini

2kwa kujisemea maneno tu ya kuniumiza?

3Sasa ni mara kumi, mkinitukana; lakini kwa kunihangaisha hivyo hamwoni soni?

4Itakapotokea kuwa kweli, ya kama nimekosa, mimi ndiye, litakayemkalia hilo kosa langu.

5Kama mnajikuza kweli na kunibeua, kama mimi ni mtu apaswaye na kutwezwa, haya! Niumbueni!

6Jueni, ya kuwa ndiye Mungu aliyenipotoa kwa kunitegea pande zote tanzi lake.

7Tazameni! Nikiulilia ukorofi sijibiwi, wala hakuna aniamuliaye, nikilalamika.

21Nihurumieni, nihurumieni, ninyi wenzangu! Kwani mkono wa Mungu umenipiga.

28Mkisema: Haya! Na tumkimbize! kwani mizizi ya mambo haya imeonekana kwangu:

29uogopeni upanga rohoni mwenu! Kwani kutoa makali yenye moto hutupatia hukumu za upanga; zitakapotokea, ndipo, mtakapojua: mapatilizo yako!

Sofari anasema mara ya pili: Furaha za waovu hazikai.(Taz. Iy. 15:18.)

Sofari wa Nama akajibu akisema:

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help