Ufunuo 2 - Swahili Roehl Bible 1937

Barua kwa wateule wa Efeso.

1Malaika wa wateule walioko Efeso mwandikie: Ndivyo, anavyosema yeye anayezishika zile nyota saba mkononi mwake mwa kuume, anayekwenda katikati ya zile taa saba za dhahabu:Barua kwa wateule wa Simirna.

8*Malaika wa wateule walioko Simirna mwandikie: Ndivyo, anavyosema yeye aliye wa kwanza na wa mwisho, aliyekuwa amekufa, akapata kuishi tena:Barua kwa wateule wa Pergamo.

12Malaika wa wateule walioko Pergamo mwandikie: Ndivyo, anavyosema mwenye ule upanga mkali wenye makali pande mbili:Barua kwa wateule wa Tiatira.

18Malaika wa wateule walioko Tiatira mwandikie: Ndivyo, anavyosema Mwana wa Mungu aliye mwenye macho yaliyo kama moto unaowaka, ambaye miguu yake imefanana na shaba nyekundu:

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help