1 Wakorinto 2 - Swahili Roehl Bible 1937

Ujuzi wa Mungu na ujuzi wa ulimwengu huu.

1Nami, ndugu, nilipokuja kwenu nalijia kuutangaza ushuhuda wa Mungu; sikuja kuwaambia maneno makuu ya werevu ulio wa kweli.

6*Tena yako ya werevu wa kweli; tunawaambia wale wenye kuyatimiza yote. Lakini nayo siyo ya werevu wa ulimwengu huu, wala wa wakuu wa ulimwengu huu walio wenye kufa.

7Ila yaliyo ya werevu wa Mungu ulio wa kweli ndiyo, tunayoyasema, nayo yalikuwa hayajatokea bado, maana yalikuwa yamefichwa; huko kale, ulimwengu ulipokuwa haujawa bado, Mungu aliyachagua yayo hayo, yatokee sasa kututukuza sisi.

14Lakini mtu anayeutii moyo wake tu hayafumbui ya Roho wake Mungu; huyawazia kuwa mapumbavu tu, hawezi kuyatambua, kwani hayo sharti yachunguzwe kwa nguvu ya Roho.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help