Mashangilio 19 - Swahili Roehl Bible 1937

Utukufu wake Mungu.Kwa mwimbishaji. Wimbo wa Dawidi.

1Mbingu zinausimulia utukufu wake Mungu, yaliyoko juu huyatangaza matendo ya mikono yake.

7Maonyo yake Bwana yanayo kweli yote, hutuliza roho; ushahidi wake Bwana hutegemeka, hupambanusha wapumbavu.

11Kisha mtumwa wako huonywa nayo, kuyashika huleta mapato mengi.

12Yuko nani ajuaye po pote, alipopotelewa? Uning'aze, yaniondokee nayo makosa yajifichayo!

14Maneno ya kinywa changu sharti yakupendeze, nayo mawazo ya moyo wangu sharti yawe wazi mbele yako, Bwana, wewe ndiwe mwamba wangu na mkombozi wangu.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help