1Salomo akaanza kuijenga nyumba ya Bwana Yerusalemu katika mlima wa Moriya, Bwana alikomtokea baba yake Dawidi, mahali pale, Dawidi alipopaagiza penye kupuria ngano pa Myebusi Ornani.
15Mbele ya nyumba akaweka nguzo mbili zenye urefu wa mikono 35, nacho kichwa kilichokuwa juu ya kila moja kilikuwa chenye urefu wa mikono mitano.
16Akatengeneza hata mikufu kuwa ukingo wa chini wa hivyo vichwa, akaitia juu ya hizo nguzo; kisha akatengeneza komamanga 100, akaziangika pale penye mikufu.
17Akazisimamisha hizo nguzo mbele ya jumba hili, moja kuumeni, moja kushotoni; ya kuumeni akaiita Yakini (Hushikiza), ya kushotoni Boazi (Nguvu imo).
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.