1Mose akajibu kwamba: Lakini hawatanitegemea, wala hawataisikia sauti yangu, kwani watasema: Bwana hakukutokea.
2Ndipo, Bwana alipomwuliza: Mkononi mwako unashika nini? Akasema: Fimbo.
3Akamwambia: Itupe chini! Akaitupa chini; ndipo, ilipogeuka kuwa nyoka, naye Mose akamkimbia.
24Ikawa njiani, walipokuwa kituoni, Bwana akamjia akitaka kumwua.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.