1Baada ya Abimeleki akaondokea Tola, mwana wa Pua, mwana wa Dodo wa Isakari, awaokoe Waisiraeli. Naye alikuwa anakaa Samiri milimani kwa Efuraimu.
2Akawa mwamuzi wa Waisiraeli miaka 23, kisha akafa, akazikwa Samiri.
3Baada yake huyu akaondokea Yairi wa Gileadi, akawa mwamuzi wa Waisiraeli miaka 22.
17Kisha wana wa Amoni wakaitwa kukusanyika, wakapiga makambi huko Gileadi; wana wa Isiraeli nao wakapiga makambi Misipa.
18Ndipo, watu na wakuu wa Gileadi waliposemeana kila mtu na mwenzake: Ni nani atakayeanza kupigana nao wana wa Amoni? Yeye atakuwa mkuu wao wote wakaao Gileadi.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.