Mashangilio 80 - Swahili Roehl Bible 1937

Kumwomba Mungu, aurudishe uzuri wa Isiraeli.

1Kwa mwimbishaji, auimbishe kama wimbo wa kwamba: Maua ya porini hushuhudia. Wimbo wa Asafu

5Bwana Mungu Mwenye vikosi, utakasirika mpaka lini, ijapo wakulalamikie walio ukoo wako?

6Umewalisha mikate iwalizayo, nayo machozi yao yakawa vinywaji, ulivyowanywesha kwa vikombe.

9Uko mzabibu, ulioung'oa kule Misri; ukafukuza wamizimu, ukaupanda mahali pao.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help