1Mtu wa mlango wa Lawi akaenda, akaoa mwanamke wa Kilawi.
2Huyo mwanamke akapata mimba, akazaa mtoto wa kiume; naye alipomwona kuwa mtoto mzuri, akamficha miezi mitatu.Kukimbia na kuoa kwake Mose.
15Farao alipolisikia neno hilo, akamtafuta Mose, amwue; lakini Mose akamkimbia Farao, asimwone, akaenda kukaa katika nchi ya Midiani, akakaa kwenye kisima.Mungu anayasikia malalamiko ya Waisiraeli.
23Siku zilipopita nyingi, yule mfalme wa Misri akafa. Nao wana wa Isiraeli wakapiga kite pamoja na kulia kwa ajili ya utumwa wao, nayo hayo malalamiko yao yakapanda, yakafika kwake Mungu kwa ajili ya huo utumwa wao.2 Mose 3:7.
24Mungu alipoyasikia hayo mauguzi yao, yeye Mungu akalikumbuka Agano lake, alilomwekea Aburahamu na Isaka na Yakobo.1 Mose 15:18; 26:3; 28:13-14.
25Ndipo, Mungu alipowaonea machngu wana wa Isiraeli, kwani yeye Mungu aliwajua, walivyo.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.