1 Samweli 1 - Swahili Roehl Bible 1937

Kuomba kwake Hana.

1Kulikuwa na mtu mmoja wa Ramataimu-Sofimu ulioko milimani kwa Efuraimu, jina lake ni Elkana, mwana wa Yerohamu, mwana wa Elihu, mwana wa Tohu, mwana wa Sufu, mtu wa Efuraimu.Samweli anazaliwa, halafu anatolewa kuwa wa Bwana.

20Ikawa, siku zilipotimia, Hana akapata mimba, akazaa mtoto mwanamume, akamwita jina lake Samweli (Nimesikiwa na Mungu) kwa kwamba: Nimemwomba kwa Bwana.

21Kisha yule Elkana alipopanda pamoja nao wote walio wa mlango wake kumtolea Bwana ng'ombe ya tambiko ya zile siku, walizomwagia,

22Hana hakupanda nao, kwani alimwambia mumewe: Sharti huyu mwana kwanza aliache ziwa Kisha nitampeleka, amtokee Bwana usoni pake, akae hapo siku zote.

23Mumewe Elkana akamwambia: Yafanye yaliyo mema machoni pako! Kaa, mpaka umzoeze kuacha kunyonya! Naye Bwana na alitimize neno lako. Ndipo, mama ya mtoto alipokaa na kumnyonyesha mwanawe, mpaka akimzoeza kuacha kunyonya.

24Kisha akapanda naye, alipokwisha kumzoeza kuacha kunyonya, akachukua hata ng'ombe watatu na kapu moja la unga na kiriba cha mvinyo, akampeleka Silo Nyumbani mwa Bwana, yule mtoto akingali mdogo.

25Wakachinja ng'ombe, kisha wakampeleka yule mtoto kwa Eli.

26Hana akamwambia: Bwana, hivyo roho yako, bwana wangu, ilivyo nzima bado, mimi ni mwanamke yule aliyesimama humu Nyumbani pamoja na wewe kumlalamikia Bwana.

27Nalimlalamikia kwa ajili ya mtoto huyu, Bwana akanipa maombo yangu, niliyomwomba.

28Mimi nami ninamtoa na kumpa Bwana, awe wake siku zote, atakazokuwapo, kwani ameombwa kwake Bwana. Kisha wakamtambikia Bwana huko.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help