1Kweli kweli nawaambiani: Asiyepita mlangoni, apate kuingia zizini mwa kondoo, akipandia pengine, huyo ni mwizi na mnyang'anyi.
2Lakini anayeingia mlangoni ndiye mchungaji wa kondoo.
3Mlinda mlango anamfungulia huyo, nao kondoo humsikia sauti yake. Naye huwaita kondoo walio wake kwa majina yao, huwatoa nje.
4Akiisha kuwatoa nje hutangulia mbele yao wote walio wake, nao kondoo humfuata, kwani wameijua sauti yake.
5Lakini mgeni hawatamfuata, ila watamkimbia, kwani hawazijui sauti za wageni.
6Fumbo hili Yesu aliwaambia, lakini wale hawakuitambua maana yao, aliyowaambia.
7Yesu akasema tena: Kweli kweli nawaambiani: Mimi ndio mlango wa kondoo.
8Wo wote waliokuja mbele yangu ndio wezi na wanyang'anyi; kwa hiyo kondoo hawakuwasikia.
19Wayuda wakakosana tena kwa ajili ya maneno haya.
40Kisha akaondoka tena kwenda ng'ambo ya Yordani mahali pale, Yohana alipokuwa akibatiza hapo kwanza; akakaa pale.Yoh. 1:28.
41Watu wengi wakamwendea hapo, wakasema: Yohana hakufanya kielekezo cho chote, lakini yote, Yohana aliyoyasema yake huyu, yalikuwa ya kweli.
42Kwa hiyo wengi wakamtegemea pale.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.