1*Ijapo niseme misemo ya kimtu na ya kimalaika, nisipokuwa na upendo, ndimi upatu wenye milio au njuga yenye makelele.
4Upendo ni wenye uvumilivu na upole; upendo haujui wivu. Upendo haujikwezi, wala haujivuni;
5haukwazi, wala hauyatafuti yaliyo yake, wala hauchukiziki, wala hauyahesabu maovu.
8Hapana, upendo unapokomea; kama ni ufumbuaji, utakoma; kama ni misemo, itanyamaza; kama ni utambuzi, utakoma.
9Kwani tunayoyatambua, ni fungu tu; nayo tunayoyafumbua, ni fungu tu;
10lakini matimilifu yatakapokuja, yale ya kifungufungu yatakoma.
11Nilipokuwa mtoto nalisema kitoto, nikayajua ya kitoto, nikayawaza ya kitoto. Lakini hapo nilipokuwa mtu mzima nimeyaacha yale ya kitoto.
12Maana sasa tunafanana kama tunaona mfano tu wa yale yasiyofumbuka bado; lakini siku ile tutayaona macho kwa macho. Sasa nayatambua fungu tu, lakini siku ile nitayatambua, kama nitakavyokuwa nimetambulika.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.