1 Watesalonike 2 - Swahili Roehl Bible 1937

Jinsi Paulo alivyowapigia mbiu.

1Ndugu, mwajua wenyewe, tulivyoingia kwenu, ya kuwa hatukuingia bure.Mateso yatokayo kwa ndugu.

13Kwa sababu hii na sisi hatukomi kumshukuru Mungu kwamba: Mlipolisikia kwetu Neno lake Mungu mmelipokea si kama neno la watu, ila kama Neno lake Mungu, lilivyo kweli. Naye ndiye anayetenda nguvu mwenu mmtegemeao.Hamu ya kuonana.

17Sisi ndugu tumetengwa nanyi kitambo cha sasa, tusionane nanyi uso kwa uso, lakini mioyo haikutengwa; kwa hiyo tulijipingia sana kuonana nanyi uso kwa uso, kwani tuliwatunukia sana.Rom. 1:11,13.

18Kwa hiyo tulitaka kuja kwenu, mimi Paulo nilitaka mara moja, hata mara mbili, lakini Satani alituzuia.

19Kwani kingojeo chetu au furaha yetu au kilemba, tujivuniacho mbele ya Bwana wetu Yesu Kristo, atakapokuja, ndio nini, msipokuwa ninyi?Fil. 2:16; 4:1.

20Kwani ninyi m utukufu wetu na furaha yetu.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help