Iyobu 34 - Swahili Roehl Bible 1937

1Mlio werevu wa kweli, yasikieni ninayoyasema!

2Nitegeeni masikio yenu, mlio wajuzi!

3Kwani sikio huyajaribu yanayosemwa, ufizi nao huyaonja yanayoliwa.

7Mtu aliye kama Iyobu yuko wapi? Masimango ya kwake yakichuruzika kama maji ya kunywa,

10Kwa hiyo nisikilizeni, ninyi waume mlio wenye akili! Mungu asiwaziwe kamwe ya kwamba: Hufanya maovu, wala Mwenyezi ya kwamba: Hufanya mapotovu!

11Ila humlipisha mtu matendo yake, aone yaupasayo mwenendo wake.

16Kama uko na utambuzi, yasikilize haya! Itegee sauti ya maneno yangu masikio yako!

17Je? Achukizwaye na mashauri yaliyo sawa anaweza kutawala? Au mkuu aongokaye utamwazia kuwa mwovu?

18Utamwambia mfalme: Hufai kitu? au wakuu: M waovu?

19Naye Mungu hazipendelei nyuso za wakuu, wala hawatazami wenye nguvu kuliko wanyonge, kwani wote ni viumbe vya mikono yake.

20Punde si punde, mara watu hufa, usiku wa manane hupepesuka, kisha huenda zao, nao wenye nguvu huondolewa pasipo kushikwa mikono.

21Kwani macho yake huziangalia njia za watu, nyayo zao zinapokanyaga, hupaona pote.Elihu anasema mara ya tatu: Mashauri ya Mungu hunyoka.

Elihu akajibu tena akisema:

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help