2 Timoteo 4 - Swahili Roehl Bible 1937

Mashindano ya Kikristo.

1Namtaja Mungu naye Kristo Yesu atakayewahukumu wanaoishi hata waliokufa, awe shahidi, nikikuagiza haya: Kwa hivyo, atakavyotokea, ausimike ufalme wake,

5*Lakini wewe levuka katika mambo yote! Vumilia ukiteswa vibaya! Fanya kazi ya mpiga mbiu njema! Utimize utumishi wako!Habari nyinginenyingine.

9Jikaze, ufike kwangu upesi!2 Tim. 1:4; 4:21.

10Kwani Dema ameniacha, kwa kuyapenda mambo ya dunia hii akaenda zake Tesalonike. Kreske amekwenda zake Galatia, Tito amekwenda zake Dalmatia.Kol. 4:14.

11Luka peke yake yuko pamoja nami. Mchukue Marko, uje pamoja naye! Kwani hunitumikia vizuri sana.Tume. 15:37; Kol. 4:10.

12Tikiko nalimtuma Efeso.Tume. 20:4; Ef. 6:21; Kol. 4:7.

13Utakapokuja ulete na lile joho gumu, nililoliacha huko Tiroa kwa Karpo! Vilete hata vile vitabu! Nivitakavyo sana, ni vile vya ngozi.

14Alekisandro, yule mfua shaba amenifanyia maovu mengi; Bwana atamlipa, kama matendo yake yalivyo.2 Sam. 3:39; Sh. 28:4; 1 Tim. 1:20.

15Hata wewe ujilinde kwa ajili ya mtu huyo, kwani ameyapinga sana maneno yetu.

16Nilipojikania mara ya kwanza, hakuwapo hata mmoja aliyesimama upande wangu, wote waliniacha. Wasihesabiwe jambo hili!2 Tim. 1:15.

17Lakini Bwana alisimama upande wangu, akanipa nguvu, maana alitaka, ile mbiu itimizwe nami mimi, wamizimu wote wapate kuisikia. Nami nikaokolewa kinywani mwa simba.Tume. 23:11; 27:23.

18Naye Bwana akaniokoa katika mambo mabaya yo yote, nipone, niingie katika ufalme wake wa mbinguni. Yeye atukuzwe siku zote kale na kale! Amin.

19Nisalimie Puriska na Akila walio wa nyumbani mwa Onesifiro!2 Tim. 1:16; Tume. 18:2; Rom. 16:3.

20Erasto alisalia Korinto, Tirofimo nalimwacha mgonjwa MiletoTume. 19:22; 20:4; 21:29.

21Jikaze, ufike, siku za kipupwe zitakapokuwa hazijatimia! Wanakusalimu Eubulo na Pude na Lino na Klaudia na ndugu wote.

22Bwana awe na roho yako! Upole uwakalie ninyi! Amin.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help