5 Mose 26 - Swahili Roehl Bible 1937

Kumshukuru Mungu na kutoa malimbuko.

1Utakapoingia katika hiyo nchi, Bwana Mungu wako atakayokupa, iwe fungu lako, utakapoichukua na kukaa huko,Kumshukuru Mungu na kutoa fungu la kumi.

12Katika mwaka wa tatu, ndio mwaka wa kutolea mafungu ya kumi, utakapokwisha kuyatoa mafungu ya kumi yote ya mapato yako, umpe Mlawi na mgeni na mwana aliyefiwa na wazazi na mjane, wayale malangoni pako, hata washibe.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help