Waebureo 6 - Swahili Roehl Bible 1937

Wasioweza kuokoka tena.

1Kwa hiyo na tuyaache mafundisho ya kwanza ya Kristo, tuendelee kuwafundisha yaliyo ya kutimiza! Tusiweke tena msingi na kuwafundisha kwamba: Juteni mkiyaacha matendo yawauayo! Kisha mtegemeeni Mungu!

2Tuyaache nayo mafundisho ya ubatizo na ya kubandikiwa mikono na ya ufufuko wa wafu na ya hukumu ya kale na kale!

3Hayo tutayafuata, Mungu atakapotupa ruhusa.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help