1*Ufalme wa mbingu umefanana na mtu mwenye numba aliyetoka mapema kutafuta wakulima, wamlimie mizabibu yake.Mwana wa mtu atateswa.(17-19: Mar. 10:32-34; Luk. 18:31-33.)
17Yesu alipotaka kupanda kwenda Yerusalemu akawachukua wale kumi na wawili, wawe peke yao. Akawaambia njiani:
18Tazameni tunapanda kwenda Yerusalemu. Huko Mwana wa mtu atatiwa mikononi mwao watambikaji wakuu na waandishi, nao watamhukumu, auawe;Vipofu wawili.(29-34: Mar. 10:46-52; Luk. 18:35-43.)
29Walipokuwa wakotoka Yeriko, likamfuata kundi la watu wengi.
30Ndipo, vipofu wawili waliokaa njani kando waliposikia, ya kuwa ni Yesu anayepita, wakapaza sauti wakisema: Bwana, mwana wa Dawidi, tuhurumie!
31Lakini watu wakawakaripia, wanyamaze. Lakini wao wakazidi kupaza sauti wakisema: Bwana, mwana wa Dawidi, tuhurumie!
32Ndipo, Yesu aliposimama, akawaita, akasema: Mwataka, niwafanyie nini?
33Wakamwambia: Bwana, twataka, macho yetu yafumbuke!
34Yesu akawaonea uchungu, akawagusa macho yao. Mara wakapata kuona, wakamfuata.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.