1Miaka saba itakapopita, mwachiliane madeni!
7Itakapokuwa, ndugu yako mmoja aliopo malangoni pako pawapo pote katika nchi yako, Bwana Mungu wako atakayokupa, akose mali, usiushupaze moyo wako, wala usiufunge mkono wako ukimnyima ndugu yako anayetaka kukukopa.Ukombozi wa watumwa wa Kiisiraeli.
12Ndugu yako mume au mke wa Kiebureo akijiuza kwako, akakutumikia miaka sita, sharti umwache katika mwaka wa saba, atoke kwako kuwa mwungwana tena.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.