Waroma 2 - Swahili Roehl Bible 1937

Makosa yao Wayuda na wamizimu.

1*Kwa hiyo huna la kujikania, wewe uwaye yote, ukiumbua wengine. Kwani kwa hilo, unalomwumbua mwingine, unajionea patilizo mwenyewe. Kwani wewe muumbuaji unayafanya yayo hayo.

2Nasi twajua, ya kuwa wenye mambo kama hayo Mungu hwaumbua kweli, wajulike, walivyo.

3Lakini wewe ukiumbua wengine walio wenye mambo unayoyafanya, kisha unayafanya yaleyale, unajiwaziaje, ya kwamba wewe utaipona hukumu ya Mungu?

4Au unaubeza wema na uvumilivu na ungojevu wake mwingi? Hujui, ya kuwa wema wa Mungu unakuonyesha njia ya kujuta?Wayuda hawayashiki Maonyo.

17Angalia, wewe unayeitwa Myuda, unayatumia Maonyo ya kupumzikia ukijivunia kwamba: Mungu ninaye!

18Kweli unayatambua, anayoyataka, kisha ukayatenga yaliyo mepesi nayo yaliyo magumu, kwa kuwa umefundishwa mambo ya Maonyo.

19Hivyo unajiwazia mwenyewe kuwa kiongozi wa vipofu na mwanga wao wakaao gizani,Uyuda wa kweli.

25Kwani kutahiri kunafaa, kama unayashika Maonyo. Lakini ukiyakosea Maonyo, kutahiriwa kwako ni kwa bure, utakuwa tena kama mtu asiyetahiriwa.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help