Wagalatia 6 - Swahili Roehl Bible 1937

1Ndugu, mtu akipatikana ameanguka, ninyi mlio wa Kiroho, mwonyeni Kiroho kwa upole, ashupae tena! Jiangalie mwenyewe, usijaribiwe nawe!Tutavuna, tuliyoyapanda.

6Lakini mwenye kufundishwa lile Neno na amgawie mfunzi mema yote, aliyo nayo!Tukuzo la msalaba wake Yesu Kristo.

11Yatazameni haya maandiko yote, niliyowaandikia kwa mkono wangu mimi!

12Wote wanaotaka kupendeleza miili, hao huwashurutisha kutahiriwa; tena hapana neno jingine, ni kwamba tu: Wasifukuzwe kwa ajili ya msalaba wake Kristo.

18Upole wa Bwana wetu Yesu Kristo uzikalie roho zenu, ndugu! Amin.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help