Waroma 14 - Swahili Roehl Bible 1937

Kuwavumilia wanyonge.

1Aliye mnyonge wa kumtegemea Bwana mpokeeni pasipo kubishana naye mawazo ya moyo!Msimkwaze ndugu!

13Basi, tusiumbuane wenyewe tena, ila mjue, ya kuwa ni kuumbua, mtu akimtegea ndugu yake, ajigonge au ajikwae!

14Nimeyajua, nikayashika kabisa moyoni kwa kuwa na Bwana Yesu, ya kuwa: hakuna kilicho chenye mwiko hivyo, kilivyo; lakini mtu akikiwazia kuwa chenye mwiko, basi, kwake yeye ni chenye mwiko.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help