1Yasikieni haya, ninyi wa mlango wa Yakobo! Mnajiita kwa jina la Isiraeli, mlitoka viunoni mwa Yuda, mnaapa na kulitaja Jina la Bwana, naye Mungu wa Isiraeli mnamtukuza; lakini si kwa kweli wala kwa wongofu.
12Nisikilize, Yakobo, nawe Isiraeli, niliyekuita! Mimi ndiye! Mimi ni wa kwanza, tena mimi ni wa mwisho.
22Lakini hakuna utengemano kwo wasiomcha Mungu; ndivyo, Bwana anavyosema.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.