Mateo 10 - Swahili Roehl Bible 1937

Kuwatuma mitume.(1-15: Mar. 6:7-13; Luk. 9:1-15.)

1Akawaita wanafunzi wake kumi na wawili, akawapa nguvu za kufukuza pepo wachafu na za kuponya wagonjwa wo wote na wanyonge wo wote.

Majina yao.

2Majina yao wale mitume kumi na wawili ndiyo haya: Wa kwanza Simoni anayeitwa Petero na Anderea nduguye, Yakobo wa Zebedeo na Yohana nduguye,Kusumbuliwa(16-22: Mar. 13:9-13; Luk. 21:12-17.)

16Tazameni, mimi nawatuma, mwe kama kondoo walio katikati ya mbwa wa mwitu. Kwa hiyo mwe wenye mizungu kama nyoka, tena mwe wakweli, kama njiwa walivyo! Jilindeni kwa ajili ya watu!Mategemeo.

24*Mwanafunzi hampiti Mfunzi wake, wala mtumwa hampiti bwana wake.(26-33: Luk. 12:2-9.)

26Msiwaogope! Kwani hakuna lililofunikwa lisilofunuliwa halafu, wala hakuna lililofichwa lisilotambulikana halafu.Magombano na Malipizano.(34-36: Luk. 12:51-53.)

34Msidhani, ya kuwa nimejia kuiletea nchi utengemano! Sikujia kuleta utengemano, ila upanga.

35Kwani nimejia kutenga watu, wagombane mtu na baba yake, mwana wa kike na mama yake, vilevile mkwe na mkwewe,

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help