Mateo 5 - Swahili Roehl Bible 1937

Matangazo ya mlimani.(5-7: Luk. 6:20-49.)

1*Alipoyaona hayo makundi ya watu akapanda mlimani, akakaa, nao wanafunzi wake wakamkaribia.

2Ndipo, alipokifumbua kinywa chake, akawafundisha akisema:

3Wenye shangwe ndio walio maskini rohoni mwao, maana hao ufalme wa mbingu ni wao.Chumvi na mwanga.

13*Ninyi m chumvi ya nchi. Lakini chumvi ikiwa imepotewa na ukolezi, itatiwa kitu gani, ipate kukolea tena? Hakuna kitu tena, ilichokifalia, itatupwa tu nje, ikanyagwe na watu.Maonyo na Wafumbuaji.

17Msiniwazie, ya kuwa nimejia kuyatangua Maonyo au maneno ya Wafumbuaji. Sikujia kutangua, nimejia kutimiza.Usiue!

21Mmesikia, ya kuwa watu wa kale waliambiwa: Usiue! Mtu akiua, itampasa, ahukumiwe.Usizini!

27Mmesikia ya kuwa ilisemwa: Usizini!Usiape!

33Tena mmesikia, ya kuwa watu wa kale waliambiwa: Usiape kiapo cha uwongo, lakini umtimizie Mungu, uliyomwapia!Kuwapenda adui.

38Mmesikia, ya kuwa ilisemwa: Jicho kwa jicho, jino kwa jino!

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help