1Bwana uliye Mungu mwenye lipizi, Mungu uliye mwenye lipizi, tokea!
8Vitambueni, ninyi msiojua kitu, mlio wa ukoo wetu! Nanyi wajinga, mtaerevuka lini?
12Mwenye shangwe ni mtu, umchapuaye, wewe Bwana, na kumfundisha yaliyomo katika Maonyo yako, ayajue.
20Je? Wewe uko na bia napo panapoamuliwa kwa ukorofi? Maana ndipo panapoleta maumivu kwa kuyapotoa yaliyo ya kweli.
21Wao huishambulia roho yake aliye mwongofu, humwaga damu zao wasiokosa.
22Lakini Bwana ndiye atakayekuwa ngome yangu, yeye Mungu ni mwamba wangu wa kuukimbilia.
23Atawalipiza mapotovu yao na kuwamaliza kwa ubaya wao, Bwana Mungu wetu atawamaliza kweli.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.