Marko 1 - Swahili Roehl Bible 1937

Yohana Mbatizaji.(2-8: Mat. 3:1-12; Luk. 3:1-8; Yoh. 1:19-30.)

1Utume mwema wa Yesu Kristo, Mwana wa Mungu, ulianza,Kujaribiwa.(12-13: Mat. 4:1-11; Luk. 4:1-13.)

12Papo hapo Roho akamchukua, akampeleka nyikani.Wanafunzi wa kwanza.(16-20: Mat. 4:18-22; Luk. 5:1-11.)

16Naye alipokuwa akitembea kandokando ya bahari ya Galilea, akamwona Simoni na Anderea, nduguye Simoni, wakitupa nyavu zao baharini, kwani walikuwa wavuvi.

17Yesu akawaambia: Njoni, mnifuate! Nami nitawafanya kuwa wavua watu.(35-36: Luk. 4:42-44.)

35Asubuhi na mapema sana akainuka, akatoka, akaenda zake mahali palipokuwa pasipo watu; hapo ndipo, alipomwomba Mungu.

36Naye Simoni na wenziwe wakamfuata mbio;

37walipomwona wakamwambia: Wote wanakutafuta.

38Akawaambia: Twendeni pengine penye vijiji vya pembenipembeni, nipate kupiga mbiu humo namo! Kwani hiyo ndiyo, niliyojia.

39Akaenda katika nchi yote ya Galilea, akapiga mbiu katika nyumba zao za kuombea, akafukuza pepo.

Mwenye ukoma.(40-45: Mat. 8:2-4; Luk. 5:12-16.)

40Mwenye ukoma akaja kwake, akambembeleza na kumpigia magoti akimwambia: Ukitaka waweza kunitakasa.

41Ndipo, alipomwonea uchungu, akanyosha mkono, akamgusa, akamwambia: Nataka, utakaswe.

42Mara ukoma ukamwondoka, akatakaswa.Mar. 3:12; 7:36.

43Papo hapo akamkimbiza na kumkemea3 Mose 14:2-32.

44akimwambia: Tazama, usimwambie mtu neno! Ila uende zako, ujionyeshe kwa mtambikaji, uvitoe vipaji kwa ajili ya kutakaswa kwako, Mose alivyoviagiza, vije vinishuhudie kwao!

45Lakini alipotoka akaanza kutangaza mengi na kulisimulia jambo hilo po pote. Kwa hiyo Yesu hakuweza tena kuingia mjini waziwazi, ila alikuwa akikaa nje mahali palipokuwa pasipo watu, lakini watu wakamwendea toka pande zote.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help