1 Timoteo 3 - Swahili Roehl Bible 1937
Yawapasayo wakaguzi.
1Neno hili ni la kweli: Mtu akitaka kazi ya ukaguzi anataka kazi nzuri.Yawapasayo watumikiaji wa wateule.
8Vivyo hivyo nao watumikiaji wa wateule wawe wenye macheo, wasiosema kuwili, wasio walewi, wasiofuata machumo mabaya,