1Akanirudisha kwenda kwa jengo la lango la nje la Patakatifu lielekealo maawioni kwa jua, nalo lilikuwa limefungwa.
2Bwana akaniambia: Lango hili sharti likae limefungwa, lisifunguliwe, wala asiingie mtu humo, kwa kuwa Bwana Mungu wa Isiraeli aliingia humo; kwa hiyo liwe limefungwa.
3Naye atakayekuwa mkuu, yeye mkuu peke yake atakaa humu, ale chakula mbele ya Bwana, ataingia kwa njia ya ukumbi wa hilo jengo la lango, kisha atatoka kwa njia ileile.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.